Ayubu 28:14
Job 28:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’
Job 28:14 in English
Job 28:14 · Berean Standard Bible
The ocean depths say, ‘It is not in me,’ while the sea declares, ‘It is not with me.’
Context
12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi?
Ufahamu unakaa wapi? 13Mwanadamu hatambui thamani yake;
haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’;
bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote,
wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. 16Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri,
kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.