Native Bible

Job 28:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha.

Job 28:15 in English

Job 28:15 · Berean Standard Bible

It cannot be bought with gold, nor can its price be weighed out in silver.

Context

13Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. 16Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa. 17Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.