Ayubu 28:11
Job 28:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.
Job 28:11 in English
Job 28:11 · Berean Standard Bible
He stops up * the sources of the streams to bring what is hidden to light.
Context
9Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana,
na kuiacha wazi mizizi ya milima. 10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba;
macho yake huona hazina zake zote. 11Hutafuta vyanzo vya mito
na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi?
Ufahamu unakaa wapi? 13Mwanadamu hatambui thamani yake;
haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.