Native Bible

Job 28:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.

Job 28:10 in English

Job 28:10 · Berean Standard Bible

He hews out channels in the rocks, and his eyes spot every treasure.

Context

8Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungukaye huko. 9Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana, na kuiacha wazi mizizi ya milima. 10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote. 11Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.