Native Bible

Job 26:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mauti* iko wazi mbele za Mungu; Uharibifu* haukufunikwa.

Job 26:6 in English

Job 26:6 · Berean Standard Bible

Sheol is naked before God, and Abaddon * has no covering.

Context

4Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako? 5“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 6Mauti* iko wazi mbele za Mungu; Uharibifu* haukufunikwa. 7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.