Native Bible

Job 26:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake.

Job 26:8 in English

Job 26:8 · Berean Standard Bible

He wraps up the waters in His clouds, yet the clouds do not burst under their own weight.

Context

6Mauti* iko wazi mbele za Mungu; Uharibifu* haukufunikwa. 7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. 9Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake. 10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, ameweka mpaka wa nuru na giza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.