Native Bible

Job 26:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu.

Job 26:7 in English

Job 26:7 · Berean Standard Bible

He stretches out the north over empty space; He hangs the earth upon nothing.

Context

5“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 6Mauti* iko wazi mbele za Mungu; Uharibifu* haukufunikwa. 7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. 9Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.