Native Bible

Job 26:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake.

Job 26:5 in English

Job 26:5 · Berean Standard Bible

The dead tremble— those beneath the waters and those who dwell in them.

Context

3Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha! 4Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako? 5“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 6Mauti* iko wazi mbele za Mungu; Uharibifu* haukufunikwa. 7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.