Native Bible

Job 26:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha!

Job 26:3 in English

Job 26:3 · Berean Standard Bible

How you have counseled the unwise and provided fully sound insight!

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! 3Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha! 4Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo? Nayo ni roho ya nani iliyosema kutoka kinywani mwako? 5“Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.