Native Bible

Job 21:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu?

Job 21:7 in English

Job 21:7 · Berean Standard Bible

Why do the wicked live on, growing old and increasing in power?

Context

5Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka. 7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 8Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao. 9Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.