Native Bible

Job 21:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu.

Job 21:5 in English

Job 21:5 · Berean Standard Bible

Look at me and be appalled; put your hand over your mouth.

Context

3Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? 5Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka. 7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.