Native Bible

Job 21:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira?

Job 21:4 in English

Job 21:4 · Berean Standard Bible

Is my complaint against a man? Then why should I not be impatient?

Context

2“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 3Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? 5Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.