Native Bible

Job 21:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka.

Job 21:6 in English

Job 21:6 · Berean Standard Bible

When I remember, terror takes hold, and my body trembles in horror.

Context

4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? 5Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, nao mwili wangu unatetemeka. 7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 8Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.