Ayubu 21:8
Job 21:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao.
Job 21:8 in English
Job 21:8 · Berean Standard Bible
Their descendants are established around them, and their offspring before their eyes.
Context
6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa,
nao mwili wangu unatetemeka. 7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi,
wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 8Huwaona watoto wao wakithibitika
wakiwa wamewazunguka,
wazao wao mbele za macho yao. 9Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu;
fimbo ya Mungu haiko juu yao. 10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe;
ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.