Native Bible

Job 21:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao.

Job 21:9 in English

Job 21:9 · Berean Standard Bible

Their homes are safe from fear; no rod of punishment from God is upon them.

Context

7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 8Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao. 9Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; fimbo ya Mungu haiko juu yao. 10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe; ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba. 11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; wadogo wao huchezacheza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.