Ayubu 21:11
Job 21:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwatoa watoto wao nje kama kundi; wadogo wao huchezacheza.
Job 21:11 in English
Job 21:11 · Berean Standard Bible
They send forth their little ones like a flock; their children skip about,
Context
9Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu;
fimbo ya Mungu haiko juu yao. 10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe;
ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba. 11Huwatoa watoto wao nje kama kundi;
wadogo wao huchezacheza. 12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi,
nao huifurahia sauti ya filimbi. 13Huitumia miaka yao katika mafanikio
nao hushuka kaburini kwa amani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.