Native Bible

Job 21:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huitumia miaka yao katika mafanikio nao hushuka kaburini kwa amani.

Job 21:13 in English

Job 21:13 · Berean Standard Bible

They spend their days in prosperity and go down to Sheol in peace.*

Context

11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; wadogo wao huchezacheza. 12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, nao huifurahia sauti ya filimbi. 13Huitumia miaka yao katika mafanikio nao hushuka kaburini kwa amani. 14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? Tutapata faida gani kumwomba?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.