Native Bible

Job 21:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ Hatuna haja ya kufahamu njia zako.

Job 21:14 in English

Job 21:14 · Berean Standard Bible

Yet they say to God: ‘Leave us alone! For we have no desire to know Your ways.

Context

12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, nao huifurahia sauti ya filimbi. 13Huitumia miaka yao katika mafanikio nao hushuka kaburini kwa amani. 14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? Tutapata faida gani kumwomba? 16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.