Native Bible

Job 21:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu.

Job 21:16 in English

Job 21:16 · Berean Standard Bible

Still, their prosperity is not in their own hands, so I stay far from the counsel of the wicked.

Context

14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? Tutapata faida gani kumwomba? 16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 17“Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? Ni mara ngapi maafa huwajia, yale yawapatayo ambayo Mungu huwapangia katika hasira yake? 18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, kama makapi yachukuliwayo na dhoruba?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.