Ayubu 21:15
Job 21:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? Tutapata faida gani kumwomba?
Job 21:15 in English
Job 21:15 · Berean Standard Bible
Who is the Almighty, that we should serve Him, and what would we gain if we pray to Him?’
Context
13Huitumia miaka yao katika mafanikio
nao hushuka kaburini kwa amani. 14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’
Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie?
Tutapata faida gani kumwomba? 16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe,
hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 17“Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa?
Ni mara ngapi maafa huwajia,
yale yawapatayo ambayo Mungu
huwapangia katika hasira yake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.