Native Bible

Job 21:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki.

Job 21:3 in English

Job 21:3 · Berean Standard Bible

Bear with me while I speak; then, after I have spoken, you may go on mocking.

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 3Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? 5Niangalieni mkastaajabu; mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.