Native Bible

Job 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi.

Job 21:2 in English

Job 21:2 · Berean Standard Bible

“Listen carefully to my words; let this be your consolation to me.

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 3Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.