Native Bible

Job 12:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.

Job 12:22 in English

Job 12:22 · Berean Standard Bible

He reveals the deep things of darkness and brings deep shadows into light.

Context

20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee. 21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, na kuwavua silaha wenye nguvu. 22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya. 24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.