Ayubu 12:21
Job 12:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwamwagia dharau wanaoheshimika, na kuwavua silaha wenye nguvu.
Job 12:21 in English
Job 12:21 · Berean Standard Bible
He pours out contempt on nobles and disarms the mighty.
Context
19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara,
na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika,
na kuondoa busara ya wazee. 21Huwamwagia dharau wanaoheshimika,
na kuwavua silaha wenye nguvu. 22Hufunua mambo ya ndani ya gizani,
na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza;
hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.