Native Bible

Job 12:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu.

Job 12:19 in English

Job 12:19 · Berean Standard Bible

He leads priests away barefoot and overthrows the established.

Context

17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee. 21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, na kuwavua silaha wenye nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.