Native Bible

Job 12:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi.

Job 12:17 in English

Job 12:17 · Berean Standard Bible

He leads counselors away barefoot and makes fools of judges.

Context

15Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi. 16Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.