Native Bible

Job 12:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake.

Job 12:16 in English

Job 12:16 · Berean Standard Bible

True wisdom and power belong to Him. The deceived and the deceiver are His.

Context

14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 15Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi. 16Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.