Ayubu 12:15
Job 12:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi.
Job 12:15 in English
Job 12:15 · Berean Standard Bible
If He holds back the waters, they dry up, and if He releases them, they overwhelm the land.
Context
13“Hekima na nguvu ni vya Mungu;
shauri na ufahamu ni vyake yeye. 14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena;
mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 15Akizuia maji, huwa pana ukame;
akiyaachia maji, huharibu nchi. 16Kwake kuna nguvu na ushindi;
adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara,
naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.