Native Bible

Job 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hekima na nguvu ni vya Mungu; shauri na ufahamu ni vyake yeye.

Job 12:13 in English

Job 12:13 · Berean Standard Bible

Wisdom and strength belong to God; counsel and understanding are His.

Context

11Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula? 12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? Je, maisha marefu hayaleti ufahamu? 13“Hekima na nguvu ni vya Mungu; shauri na ufahamu ni vyake yeye. 14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 15Akizuia maji, huwa pana ukame; akiyaachia maji, huharibu nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.