Ayubu 12:11
Job 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula?
Job 12:11 in English
Job 12:11 · Berean Standard Bible
Does not the ear test words as the tongue tastes its food?
Context
9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua
kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe,
na pumzi ya wanadamu wote. 11Je, sikio haliyajaribu maneno
kama vile ulimi uonjavyo chakula? 12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee?
Je, maisha marefu hayaleti ufahamu? 13“Hekima na nguvu ni vya Mungu;
shauri na ufahamu ni vyake yeye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.