Native Bible

Job 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili?

Job 12:9 in English

Job 12:9 · Berean Standard Bible

Which of all these does not know that the hand of the LORD has done this?

Context

7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, au ndege wa angani, nao watawaambia; 8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, na pumzi ya wanadamu wote. 11Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.