Ayubu 12:7
Job 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, au ndege wa angani, nao watawaambia;
Job 12:7 in English
Job 12:7 · Berean Standard Bible
But ask the animals, and they will instruct you; ask the birds of the air, and they will tell you.
Context
5Wanadamu wakiwa katika utulivu huwa na dharau kwa wale wenye msiba
kana kwamba ndiyo haki ya wale ambao miguu yao inateleza. 6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi,
wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama:
wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha,
au ndege wa angani, nao watawaambia; 8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha,
au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua
kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.