Ayubu 12:5
Job 12:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanadamu wakiwa katika utulivu huwa na dharau kwa wale wenye msiba kana kwamba ndiyo haki ya wale ambao miguu yao inateleza.
Job 12:5 in English
Job 12:5 · Berean Standard Bible
The one at ease scorns misfortune as the fate of those whose feet are slipping.
Context
3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi;
mimi si duni kwenu.
Ni nani asiyejua mambo haya yote? 4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu,
ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu:
mimi ni mtu wa kuchekwa tu,
ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 5Wanadamu wakiwa katika utulivu huwa na dharau kwa wale wenye msiba
kana kwamba ndiyo haki ya wale ambao miguu yao inateleza. 6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi,
wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama:
wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha,
au ndege wa angani, nao watawaambia;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.