Native Bible

Job 12:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote?

Job 12:3 in English

Job 12:3 · Berean Standard Bible

But I also have a mind; I am not inferior to you. Who does not know such things as these?

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Bila shaka ninyi ndio watu, nayo hekima itakoma mtakapokufa! 3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? 4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: mimi ni mtu wa kuchekwa tu, ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 5Wanadamu wakiwa katika utulivu huwa na dharau kwa wale wenye msiba kana kwamba ndiyo haki ya wale ambao miguu yao inateleza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.