Native Bible

Job 12:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Bila shaka ninyi ndio watu, nayo hekima itakoma mtakapokufa!

Job 12:2 in English

Job 12:2 · Berean Standard Bible

“Truly then you are the people with whom wisdom itself will die!

Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Bila shaka ninyi ndio watu, nayo hekima itakoma mtakapokufa! 3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? 4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: mimi ni mtu wa kuchekwa tu, ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.