Native Bible

Job 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa.

Job 12:8 in English

Job 12:8 · Berean Standard Bible

Or speak to the earth, and it will teach you; let the fish of the sea inform you.

Context

6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi, wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, au ndege wa angani, nao watawaambia; 8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, na pumzi ya wanadamu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.