Native Bible

Job 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, na pumzi ya wanadamu wote.

Job 12:10 in English

Job 12:10 · Berean Standard Bible

The life of every living thing is in His hand, as well as the breath of all mankind.

Context

8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, na pumzi ya wanadamu wote. 11Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula? 12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? Je, maisha marefu hayaleti ufahamu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.