Native Bible

Job 12:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni.

Job 12:18 in English

Job 12:18 · Berean Standard Bible

He loosens the bonds placed by kings and fastens a belt around their waists.

Context

16Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.