Native Bible

Job 12:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee.

Job 12:20 in English

Job 12:20 · Berean Standard Bible

He deprives the trusted of speech and takes away the discernment of elders.

Context

18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, na kuondoa busara ya wazee. 21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, na kuwavua silaha wenye nguvu. 22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.