Ayubu 12:23
Job 12:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya.
Job 12:23 in English
Job 12:23 · Berean Standard Bible
He makes nations great and destroys them; He enlarges nations, then disperses them.
Context
21Huwamwagia dharau wanaoheshimika,
na kuwavua silaha wenye nguvu. 22Hufunua mambo ya ndani ya gizani,
na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza;
hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya. 24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao;
huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 25Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga;
huwafanya wapepesuke kama walevi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.