Native Bible

Job 12:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia.

Job 12:24 in English

Job 12:24 · Berean Standard Bible

He deprives the earth’s leaders of reason and makes them wander in a trackless wasteland.

Context

22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya. 24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 25Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; huwafanya wapepesuke kama walevi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.