Yohana 11:23
John 11:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.”
John 11:23 in English
John 11:23 · Berean Standard Bible
“Your brother will rise again,” Jesus told her.
Context
21Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa. 22Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.” 23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.” 24Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.” 25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.