Yohana 11:24
John 11:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.”
John 11:24 in English
John 11:24 · Berean Standard Bible
Martha replied, “I know that he will rise again in the resurrection at the last day.”
Context
22Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.” 23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.” 24Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.” 25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.