Yohana 11:25
John 11:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi
John 11:25 in English
John 11:25 · Berean Standard Bible
Jesus said to her, “I am the resurrection and the life. Whoever believes in Me will live, even though he dies.
Context
23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.” 24Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.” 25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” 27Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.