Yohana 11:27
John 11:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.”
John 11:27 in English
John 11:27 · Berean Standard Bible
“Yes, Lord,” she answered, “I believe that You are the Christ, the Son of God, who was to come into the world.”
Context
25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” 27Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” 28Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.” 29Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.