Native Bible

John 11:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.”

John 11:28 in English

John 11:28 · Berean Standard Bible

After Martha had said this, she went back and called her sister Mary aside to tell her, “The Teacher is here and is asking for you.”

Context

26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” 27Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” 28Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.” 29Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Yesu. 30Yesu alikuwa hajaingia kijijini, bali alikuwa bado yuko mahali pale alipokutana na Martha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.