Yohana 11:26
John 11:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
John 11:26 in English
John 11:26 · Berean Standard Bible
And everyone who lives and believes in Me will never die. Do you believe this?”
Context
24Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.” 25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?” 27Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” 28Baada ya kusema haya Martha alikwenda, akamwita Maria dada yake faraghani na kumwambia, “Mwalimu yuko hapa anakuita.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.