Native Bible

John 11:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.”

John 11:22 in English

John 11:22 · Berean Standard Bible

But even now I know that God will give You whatever You ask of Him.”

Context

20Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani. 21Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa. 22Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.” 23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.” 24Martha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.