Native Bible

John 11:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.

John 11:21 in English

John 11:21 · Berean Standard Bible

Martha said to Jesus, “Lord, if You had been here, my brother would not have died.

Context

19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao. 20Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani. 21Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa. 22Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.” 23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.