Native Bible

John 11:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao.

John 11:19 in English

John 11:19 · Berean Standard Bible

and many of the Jews had come to Martha and Mary to console them in the loss of their brother.

Context

17Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. 18Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,* 19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao. 20Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani. 21Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.